• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 28, 2019

  MESSI, SUAREZ WAFUNGA BARCELONA YAICHAPA DORTMUND 3-1

  Lionel Messi (kushoto) akishangilia na wenzake, Antoine Griezmann na Luis Suarez baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 wa Barcelona dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Suarez alifunga la kwanza dakika ya 29, Messi la pili dakika ya 33 na Griezmann la tatu dakika ya 67, wakati bao pekee la Dortmund lilifungwa na Jadon Sancho dakika ya 77 na kwa ushindi huo Barcelona inatinga hatua ya 16 Bora kufuatia kufikisha pointi 11, nne zaidi ya Inter Milan wanaofuatia nafasi ya pili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI, SUAREZ WAFUNGA BARCELONA YAICHAPA DORTMUND 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top