ALIYEKUWA Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar, Dk. Omar Ally Juma (sasa marehemu) akimsabahi kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hussein Amaan Marsha (kulia) kabla ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 1996 dhidi ya Uganda Septemba 3, 1994 uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam. Taifa Stars ilishinda 4-0 mabao ya Bure Salehe dakika ya tano, Edibily Lunyamila dakika ya tisa na 88 na Nteze John dakika ya 13
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment