• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 19, 2019

  MESSI AISAWAZISHIA KWA PENALTI ARGENTINA IKITOA 2-2 NA URUGUAY

  Lionel Messi akiifungia Argentina bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 90 na ushei katika sare ya 2-2 na Uruguay baada ya beki Jose Martin Caceres kuunawa mpira kwenye boksi usiku wa jana katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Bloomfield mjini Tel-Aviv. Uruguay ilitangulia kwa bao la Edinson Cavani dakika ya 34 kabla ya Sergio Aguero kuisawazishia Argentina dakika ya 63 na Luis Suarez kufunga la pili dakika ya 68 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AISAWAZISHIA KWA PENALTI ARGENTINA IKITOA 2-2 NA URUGUAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top