Arturo Vidal (kushoto) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Barcelona bao la pili dakika ya 79 kufuatia kutokea benchi kuchukua nafasi ya Antoine Griezmann katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque. Youssef En-Nesyri alianza kuifungia Leganes dakika ya 12 kabla ya Luis Suarez kuisawazishia Barcelona dakika ya 53 akimalizia mpira wa adhabu wa Nahohda, Lionel Messi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment