• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 20, 2019

  HOLYFIELD ATAKA KURUDI ULINGONI KUZIPIGA NA BOWE MARA YA NNE

  BONDIA Evander Holyfield (kulia) anataka kurejea ulingoni akiwa ana umri wa miaka 57 akitaka kuzipiga na mpinzani wake wa zamani, Riddick Bowe (kushoto) kwa mara ya nne.
  Evander Holyfield alistaafu miaka nane iliyopita ila sasa anaamini ni wakati mwafaka kurejea tena ulingoni kwa kuzipiga na Riddick Bowe, ambaye kwa sasa ni rafiki yake. Mara ya mwisho, Holyfield kupigana ilikuwa ni mwaka 2011 dhidi ya Brian Nielsen. Bowe alimpiga Holyfield mara mbili, akapigwa mara moja ndani ya kipindi cha miaka mitatu, kai ya 1992 na 1995 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HOLYFIELD ATAKA KURUDI ULINGONI KUZIPIGA NA BOWE MARA YA NNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top