• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 07, 2019

  ARSENAL 'YACHOMOLEWA' DAKIKA YA 90, SARE 1-1 NA VITORIA

  Bruno Duarte akibinuka 'kibaiskeli' kuifungia Vitoria bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei ikitoa sare ya 1-1 na Arsenal kufuatia Shkodran Mustafi kuanza kuwafungia The Gunners dakika ya 80 katika mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Dom Afonso Henriques mjini Guimaraes 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL 'YACHOMOLEWA' DAKIKA YA 90, SARE 1-1 NA VITORIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top