• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 15, 2019

  GIROUD AIFUNGIA LA USHINDI UFARANSA IKIILAZA MOLDOVA 2-1

  Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao la pili kwa penalti dakika ya 79 ikiilaza Moldova 2-1 katika mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Kiungo Vadim Rata alianza kuifungia Moldova dakika ya tisa kabla ya Raphael Varane kuisawazishia Ufaransa dakika ya 39 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 22 wakiendelea kuongoza Kundi H wakifuatiwa na Uturuki yenye pointi 20 baada ya wote kucheza mechi tisa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GIROUD AIFUNGIA LA USHINDI UFARANSA IKIILAZA MOLDOVA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top