• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 18, 2019

  GRIEZMANN AFUNGA LA PILI UFARANSA YAICHAPA ALBANIA 2-0

  Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuwafungia mabingwa wa dunia, Ufaransa bao la pili dakika ya 31 kufuatia Corentin Tolisso kufunga la kwanza dakika ya nane katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Albania usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Arena Kombetare mjini Tirana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AFUNGA LA PILI UFARANSA YAICHAPA ALBANIA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top