• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 28, 2019

  LUKAKU AFUNGA INTER MILAN YASHINDA 3-1 LIGI YA MABINGWA

  Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 81 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Slavia Praha kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Sinobo mjini Praha. Mabao mengine ya Napoli yote yalifungwa na Lautaro Martinez dakika ya 19 na 88, wakati bao pekee la Slavia Praha lilifungwa na Tomas Soucek kwa penalti dakika ya 37 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA INTER MILAN YASHINDA 3-1 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top