• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 17, 2019

  HAZARD WOTE WAFUNGA NA LUKAKU UBELGIJI YAICHAPA URUSI 4-0

  Eden Hazard (kushoto) na nduguye, Thorgan Hazard (kulia) baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-1 wa Ubelgiji dhidi ya wenyeji, Urusi usiku wa jana Uwanja wa Saint-Petersburg kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020. Thorgan alianza kufunga la kwanza dakika ya 19 kabla ya Eden kufunga mawili dakika ya 33 na 40, wakati bao la nne lilifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 72 huku la Urusi likifungwa na Georgi Dzhikiya dakika ya 79 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAZARD WOTE WAFUNGA NA LUKAKU UBELGIJI YAICHAPA URUSI 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top