Luka Modric akikimbia kushangilia baada ya kusababisha mabao mawili na kufunga moja katika ushindi wa 3-1 wa Real Madrid dhidi ya Real Sociedad usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu jana. Willian Jose alianza kuwafungia wageni dakika ya pili tu kabla ya Karim Benzema kuisawazishia Real dakika ya 37, Federico Valverde kufunga la pili dakika ya 47 wote wakimalizia pasi za Luka Modric aliyefunga bao la tatu dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment