• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 29, 2019

  FRANKFURT YAWAPIGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATEs

  KIUNGO Mjapan, Daich Kamada (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Eintracht Frankfurt mabao mawili dakika za 55 na 64 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London, bao la wenyeji likifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 45 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FRANKFURT YAWAPIGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATEs Rating: 5 Reviewed By: Mwakasege Blog
  Scroll to Top