• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 09, 2019

  LEICESTER CITY YAICHAPA ARSENAL 2-0 LIGI KUU YA ENGLAND

  James Maddison akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City dakika ya 75 akimalizia pasi ya Jamie Vardy aliyefunga bao la kwanza dakika ya 68 kwa pasi ya Youri Tielemans kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power kipigo ambacho kinazidi kumuweka katika wakati mgumu kocha Unai Emery 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAICHAPA ARSENAL 2-0 LIGI KUU YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top