• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 10, 2019

  BABESH, MWAKALEBELA NA HAULE KABLA YA STARS NA GHANA 1992

  WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Innocent Haule, Said Mohamed Babesh na David Mwakalebela wakiteremka Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)1994 dhidi ya Ghana Agosti 15 mwaka 1992. Nyuma ni aliyekuwa mfadhili Abbas Gulamali (marehemu) na Kocha Msaidizi, Salum Madadi katika mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya 2-2 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BABESH, MWAKALEBELA NA HAULE KABLA YA STARS NA GHANA 1992 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top