Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Partizan Belgrade mabao ya Mason Greenwood dakika ya 21, Anthony Martial dakika ya 33 na Marcus Rashford dakika ya 49 kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Ushindi huo unaifaanya Man United ifikishe poniti 10 katika mchezo wa nne na kendelea kuongoza kundi hilo ikiizidi AZ pointi mbili huku ikijihakikishia kuingia hatua ya mtoano ya micbuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Verstappen takes first 2026 pole ahead of Hamilton
-
Max Verstappen takes his and Red Bull's first pole position of 2026 with an
imperious performance in qualifying at the Bahrain Grand Prix in Malaysia.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment