KILIMANJARO QUEENS WAKIJIFUA UHURU KUJIANDAA NA CECAFA CHALLENGE YA WANAWAKE
Wachezaji wa kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Queens' wakifanya mazoezi chini ya kocha wao, Bakari Shime (kulia) kujiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge ya Wanawake inayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 24 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
Kilimanjaro Queens ni mabingwa mara mbili mfululizo wa michuano hiyo ambao wamepania kutwaa taji la tatu nyumbani
Leo kikosi kimefanya mazoezi Uwanja wa Uhuru, lakini kambi yao ipo Azam Complex, Chamazi
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment