• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 28, 2019

  DEJAN LOVREN AINUSURU LIVERPOOL KUPIGWA ANFIELD NA NAPOLI, 1-1

  Dejan Lovren akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Liverpool dakika ya 65 ikitoa sare ya 1-1 na Napoli iliyotangulia kwa bao la Dries Mertens dakika ya 21 usiku wa jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kwa matokeo hayo, Liverpool inaendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi zake 10, ikifuatiwa na Napoli pointi tisa, Salzburg saba na Genk yenye pointi moja inashika mkia 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DEJAN LOVREN AINUSURU LIVERPOOL KUPIGWA ANFIELD NA NAPOLI, 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top