Washambuliaji Marcus Rashford wa Manchester United na Harry Kane wa Tottenham Hotspur wakipongezana baada ya wote kuifungia England katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Kosovo kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Fadil Vokrri mjini Pristina. Kane alifunga dakika ya 79 na Rashford dakika ya 83, wakati mabao mengine ya 'Simba Watatu' yalifungwa na Harry Winks dakika ya 32 na Mason Mount dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FedEx St. Jude Championship 2022: Will Zalatoris Tops Sepp Straka in Wild Playoff
-
The top 70 golfers in the standings advance to the next round of the FedEx
Cup playoffs...
Dakika 37 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni