• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 27, 2019

  MAN CITY YAFUZU HATUA YA MTOANO LICHA YA KUTOA SARE 1-1 ETIHAD

  Kiungo lkay Gundogan akiifungia bao la kuongoza Manchester City dakika ya 56 katika sare ya 1-1 na Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad usiku wa jana. Bao la Shakhtar Donetsk lilifungwa na Manor Solomon dakika ya 69, lakini Man City imefanikiwa kutinga hatua ya mtoano baada ya kufikisha ponti 11 katika mchezo wa tano, ikiwazidi pointi tano Shakhtar Donetsk wanaofuatia nafasi ya pili 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAFUZU HATUA YA MTOANO LICHA YA KUTOA SARE 1-1 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top