• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 20, 2019

  UBELGIJI YAICHAPA CYPRUS 6-1 MECHI YA KUFUZU EURO 2020

  Wachezaji wa Ubelgiji wakipongezana baada ya ushindi wa 6-1 dhidi ya Cyprus kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels. Mabao ya Ubelgiji yalifungwa na Christian Benteke dakika ya 16 na 67, Kevin De Bruyne dakika ya 35 na 41, Yannick Carrasco dakika ya 44 na Kypros Christoforou aliyejifunga dakika ya 51 baada ya Cyprus kutangulia kwa bao la Nicolas Ioannou dakika ya 14 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UBELGIJI YAICHAPA CYPRUS 6-1 MECHI YA KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top