• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 10, 2019

  HII NDIYO KAMBI WANAYOISHI WACHEZAJI NA MAKOCHA WA SIMBA SC TANGU AGOSTI MOSI MWAKA HUU

  Picha tofauti zikionyesha mandhari ya kambi ya wachezaji na benchi la Ufundi la klabu bingwa ya Tanzania, Simba SC iliyopo eneo la Mbweni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.  
  Wachezaji na makocha wa Simba SC walianza kuitumia kambi hii Agosti 1 mwaka huu kabla ya kuanza msimu mpya wa mashindano 
  Picha tofauti zikionyesha mandhari ya kambi ya wachezaji na benchi la Ufundi la klabu bingwa ya Tanzania, Simba SC iliyopo eneo la Mbweni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HII NDIYO KAMBI WANAYOISHI WACHEZAJI NA MAKOCHA WA SIMBA SC TANGU AGOSTI MOSI MWAKA HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top