• HABARI MPYA

  Saturday, November 30, 2019

  CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA WEST HAM UNITED PALE PALE DARAJANI

  Aaron Creswell akishangilia na mchezaji mwenzake, Robert Snodgrass baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA WEST HAM UNITED PALE PALE DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top