• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 12, 2019

  KELVIN JOHN AJIUNGA NA AKADEMI YA LEICESTER CITY WAKATI AKIENDELEA NA MASOMO ENGLAND

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin John akiwa na chipukizi mwenzake wa akademi ya Leicester City katika kambi yao, Holmes Park, Belvoir Drive Training Complex jana. Kelvin amejiunga na academy ya Leicester City kufuatia kwenda England kwa masomo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KELVIN JOHN AJIUNGA NA AKADEMI YA LEICESTER CITY WAKATI AKIENDELEA NA MASOMO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top