• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 30, 2019

  REAL MADRID WAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUICHAPA ALAVES 2-1

  Real Madrid leo wamerejea kileleni mwa La Liga baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Deportivo Alaves Uwanja wa Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz, mabao yake yakifungwa na Sergio Ramos dakika ya 52 na Dani Carvajal dakika ya 69.
  Bao pekee la Alaves limefungwa na Lucas Perez kwa penalti dakika ya 65 na sasa Real inafikisha pointi 31 katika mchezo wa 14, ikiwazidi pointi tatu mabingwa watetezi, Barcelona ambao kesho watamenyana na Atletico Madrid  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID WAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUICHAPA ALAVES 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top