• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 02, 2019

  MANE ASETI LA KWANZA, AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YATOKA NYUMA KUSHINDA 2-1

  Sadio Mane akimalizia mpira uliopigwa na Trent Alexander-Arnold kufunga bao la ushindi kwa kichwa dakika ya 94 Liverpool ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Aston Villa leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Villa Park. Villa ilitangulia kwa bao la kiungo Mmisri, Mahmoud Ibrahim Hassan 'Trezeguet' dakika ya 21, kabla ya Mane kumsetia Andy Robertson kuisawazishia Liverpool dakika ya 87 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANE ASETI LA KWANZA, AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YATOKA NYUMA KUSHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top