• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 20, 2019

  SERGE GNABRY APIGA HAT TRICK UJERUMANI YAICHAPA IRELAND 6-1

  Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao matatu dakika za 19, 47 na 60 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Ireland Kaskazini kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt am Main. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Leon Goretzka dakikaya 43 na 73 na Julian Brandt dakika ya 90 na ushei, wakati la Ireland Kaskazini lilifungwa na Michael Smith dakika ya saba 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERGE GNABRY APIGA HAT TRICK UJERUMANI YAICHAPA IRELAND 6-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top