• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 23, 2019

  LIVERPOOL YAICHAPA 2-1 CRYSTAL PALACE 2-1 SELHURST PARK

  Mbrazil Roberto Firmino akishangilia na wachezaji wenzake, Waholanzi Georginio Wijnaldum na Virgil van Dijk baada ya kuifungia bao la pili Liverpool dakika ya 85 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace leo Uwanja wa Selhurst Park, London. Liverpool ilitangulia kwa bao la Sadio Mane dakika ya 49 kabla ya Wilfried Zaha kuisawazishia Crystal Palace dakika ya 82 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA 2-1 CRYSTAL PALACE 2-1 SELHURST PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top