• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 24, 2019

  WILDER ATUMIA RAUNDI SABA TU KUMKALISHA ORTIZ KWA 'KO MBAYA'

  Refa akimuondoa bondia Mmarekani Deontay Wilder (kushoto) baada ya kumuangusha mpinzani wake, Mcuba Luis Ortiz raundi ya saba ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas na kufanikiwa kutetea taji lake la WBC uzito wa juu kwa ushindi wa Knockout (KO). Hiyo ilikuwa mara ya pili Wilder anamshinda Ortiz baada ya awali kumpiga kwa KO pia Mei mwaka jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WILDER ATUMIA RAUNDI SABA TU KUMKALISHA ORTIZ KWA 'KO MBAYA' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top