• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 10, 2019

  MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 3-1 OLD TRAFFORD

  Mshambuliaji Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 66 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Andreas Pereira dakika ya 17 na Davy Propper aliyejifunga dakika ya 19, wakati la Brighton limefungwa na Lewis Dunk 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 3-1 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top