• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 27, 2019

  LEWANDOWSKI APIGA NNE BAYERN MUNICH YASHINDA 6-0 UGENINI

  Mshambuliaji Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao manne dakika za 53 kwa penalti, 60, 64, 67 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Red Star Belgrade kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Rajko Mitic mjini Belgrade, mabao mengine yakifungwa na Leon Goretzka dakika ya 14 na Corentin Tolisso dakika ya 89 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA NNE BAYERN MUNICH YASHINDA 6-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top