• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 02, 2019

  ARSENAL YACHOMOLEWA DAKIKA YA 76, SARE 1-1 NA WOLVES EMIRATES

  Wachezaji wa Arsenal wakirejea katikati kinyonge baada ya Raul Jimenez kuisawazishia Wolverhampton Wanderers dakika ya 76 kufuatia wenyeji kutangulia kwa bao la Pierre-Emerick Aubameyang dakika ta 21 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates mjini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YACHOMOLEWA DAKIKA YA 76, SARE 1-1 NA WOLVES EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top