• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 16, 2019

  HISPANIA YAIFUNGA 7-0 MALTA MECHI YA KUNDI F KUFUZU EURO 2020

  Hispania wamepata ushindi wa 7-0 dhidi ya Malta usiku wa jana katika mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Ramon de Carranza mjini Cadiz, mabao ya Alvaro Morata dakika ya 23, Santi Cazorla 41, Pau Torres 62, Pablo Sarabia 63, Daniel Olmo 69, Gerard Moreno 71 na Jesus Navas 85 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HISPANIA YAIFUNGA 7-0 MALTA MECHI YA KUNDI F KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top