• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 30, 2019

  MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA NEWCASTLE UNITED

  Jonjo Shelvey akipiga shuti kuifungia bao la kusawazisha Newcastle United dakika ya 88 katika sare ya 2-2 na Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park. Bao la kwanza la Newcastle limefungwa na Jetro Willems dakika ya 25, wakati ya Manchester City yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 22 na Kevin De Bruyne dakika ya 82 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA NEWCASTLE UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top