Oli McBurnie akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Sheffield United bao la kusawazisha dakika ya 90 katika sare ya 3-3 na Manchester United usiku wa leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bramall Lane, Sheffield. Hiyo ni baada ya Sheffield United kutangulia kwa mabao ya John Fleck dakika ya 19 na Lys Mousset dakika ya 52, kabla ya Man United kusawazisha kwa mabao ya Brandon Williams dakika ya 72 na Mason Greenwood dakika ya 77 na Marcus Rashford kufunga la tatu dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How World Cup final could be pivotal in Ballon d'Or race
-
With the Ballon d'Or race tighter than ever before, BBC Sport looks at how
the World Cup final could determine the 2026 winner.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment