• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 07, 2019

  MBWANA SAMATTA ALIVYOWASHUGHULISHA MABEKI WA LIVERPOOL JUZI ANFIELD

  Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania Mbwana Ally Samatta akimiliki mpira mbele ya beki Mholanzi wa Liverpool, Virgil van Dijk katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa juzi Uwanja wa Anfield. Liverpool ilishinda 2-1, bao pekee la Genk likifungwa na Samatta.
  Mbwana Samatta akiinua mkono juu baada ya kuifungia Genk juzi Uwanja wa Anfield.
  Mbwana Samatta akiinua mkono juu baada ya kuifungia Genk juzi Uwanja wa Anfield.
  Mbwana Samatta akimtoka beki Muingereza wa Liverpool, Joe Gomez juzi Uwanja wa Anfield.
  Mbwana Samatta akimpigia hesabu beki Muingereza wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold juzi Uwanja wa Anfield.
  Mbwana Samatta wa tatu kutoka kulia waliosimama katika kikosi cha Genk kilichoanza dhidi ya Liverpool juzi Uwanja wa Anfield.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA ALIVYOWASHUGHULISHA MABEKI WA LIVERPOOL JUZI ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top