• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 24, 2019

  LACAZETTE AISAWAZISHIA ARSENAL DAKIKA YA MWISHO YATOA SARE 2-2

  Mfaransa Alexandre Lacazette akiifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya sita ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida katika sare ya 2-2 na Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates. Lacazette pia alifunga bao la kwanza la Arsenal dakika ya 18, wakati mabao ya Southampton yalifungwa na Danny Ings dakika ya nane na James Ward-Prowse dakika ya 71 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LACAZETTE AISAWAZISHIA ARSENAL DAKIKA YA MWISHO YATOA SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top