• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 29, 2019

  MAN UNITED NAO WALICHEZEA 2-1 KWA ASTANA EUROPA LEAGUE

  Wachezaji wa Astana wakishangilia ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester United usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League Uwanja wa Astana Arena, mabao yao yakifungwa na Dmitri Shomko dakika ya 55 na Di'Shon Bernard aliyejifunga dakika ya 62 baada ya wageni kutangulia kwa bao la Jesse Lingard dakika ya 10 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED NAO WALICHEZEA 2-1 KWA ASTANA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top