• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 10, 2019

  MESSI APIGA HAT TRICK BARCELONA YASHINDA 4-1 LA LIGA

  Mshambuliaji na Nahodha Lionel Messi akishangilia baada ya kuipigia hat-trick Barcelona katika ushindi wa4-1 dhidi ya Celta Vigo Uwanja wa Camp Nou, hivyo kurejea kileleni mwa La Liga  wakiizidi Real Madrid mabao mawili baada ya timu zote kukusanya pointi 25.
  Mabao ya Barca jana yalifungwa na Nahodha wake, Lionel Messi matatu, moja kwa penalti dakika ya 23 na mengine dakika ya 45 na ushei na 48, wakati la nne lilifungwa na Busquets dakika ya 85 huku bao pekee la Celta Vigo likifungwa na Lucas Olaza dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI APIGA HAT TRICK BARCELONA YASHINDA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top