• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 27, 2019

  BENZEMA APIGA MBILI PSG WACHOMOA ZOTE SARE 2-2 REAL NA PSG

  Mshambuliaji Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid striker dakika za 17 na 79 katika sare ya 2-2 na Paris Saint Germain kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid kabla ya PSG kusawazisha mwishoni kwa mabao ya Kylian Mbappe dakika ya 81na Pablo Sarabia dakika ya 83 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA MBILI PSG WACHOMOA ZOTE SARE 2-2 REAL NA PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top