Kipa Mjerumani wa Liverpool, Loris Karius akiwa amekasirika baada ya kufungwa mabao ya kizembe katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Prenton Park timu yake ikishinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Tranmere Rovers. Karius aliyefungwa kizembe kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Real Madrid kwa makosa ya jana, wazi ana shughuli pevu kuendelea kuwa kipa wa kwanza wa timu. Mabao ya Wekundu hao jana yalifungwa na Rafael Camacho, Sheyi Ojo na Adam Lallana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Blues' Robert Thomas Snubbed From NHL Network Centers Ranking
-
St. Louis Blues star Robert Thomas was snubbed from the NHL Network in
their latest rankings of the top 20 centers.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment