Mshambuliaji wa Kakamega Homeboyz, Allan Wanga (katikati) akiruka kupiga mpira dhidi ya mabeki wa Simba SC katika mchezo wa Nusu Fainali ya SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Afraha mjini Nakuru, Kenya. Simba SC ilishinda kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90
Winga wa Simba SC, Shiza Kichuya akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Kakamega Homeboyz
Beki mkongwe wa Simba SC, Erasto Nyoni (kulia) akipiga mpira dhidi ya Allan Wanga wa Kakamega
Kiungo mtaalamu wa Simba, Haruna Niyonzima (kushoto) akipiga pasi dhidi ya mchezaji wa Kakamega
Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiwa juu kuwania mpira dhidi ya mchezaji wa Kakamega
Kipa hodari wa Simba SC, Aishi Manula akiwa kazini jana Nakuru








.png)
0 comments:
Post a Comment