Cristiano Ronaldo akifurahia kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa, Ureno kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia katika kambi yao mjini Lisbon mara baada ya kujiunga nao jana kufuatia kupewa mapumziko zaidi baada ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya akiiwezesha klabu yake, Real Madrid kushinda 3-1 dhidia ya Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment