Phil Jones (juu) na Nahodha Jordan Henderson (kulia) akimpongeza mchezaji mwenzao, Marcus Rashford baada ya kuifungia England bao zuri la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Costa Rica jana Uwanja wa Elland Road mjini Leeds, West Yorkshire kujiandaa na Kombe la Dunia. Bao la pili lilifungwa na Danny Welbeck dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chinese Foreign Minister, Wang Yi meets former Senegalese President Macky
Sall over UN Secretary-General position
-
From Aidoghie Paulinus, Abuja Chinese Foreign Minister, Wang Yi, earlier in
the week, received in audience, the Candidate for the Next United Nations
Sec...
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment