Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Phares Magesa (kulia) akiwa na nyota wa mchezo huo, Mtanzania Hasheem Thabeet (katikati) anayechezea klabu ya Yokohama B-Corsairs ya Japan leo wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 18 (U18) viwanja vya JMK Park mjini Dar es Salaam, ambako timu za wanawake na wanaume zinajiandaa kwa michuano ya FIBA Kanda ya Tano inayotarajiwa kuanza Juni 17 hadi 22 Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.
ADC leadership tussle: Court validates David Mark, Aregbesola
-
The Federal High Court in Abuja has affirmed the leadership of the African
Democratic Congress (ADC) headed by former Senate President David Mark and
for...
8 minutes ago




.png)
0 comments:
Post a Comment