// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MOURINHO ATUNGULIWA PENALTI ZOTE MECHI YA HISANI ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MOURINHO ATUNGULIWA PENALTI ZOTE MECHI YA HISANI ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Saturday, September 02, 2017

  MOURINHO ATUNGULIWA PENALTI ZOTE MECHI YA HISANI ENGLAND

 • Kipa wa Team Shearer, Jose Mourinho akiruka kuokoa bila mafanikio moja ya mikwaju ya penalti katika mchezo wa kirafiki wa Hisani dhidi ya Team Ferdinandi leo Uwanja wa Loftus Road leo maalum kuchangisha fedha za kuwasaidia wahanga wa ajali ya moto ya Grenfell Juni mwaka huu. Team Ferdinand imeshinda kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 2-2 maana yake Mournho alishindwa kuokoa hata mkwaju mmoja. Mabao ya Team Ferdinand yamefungwa na mwanariadha bingwa wa Olimpiki, Mo Farah na Chris Edwards wakati ya  Team Shearer yamefungwa na Trevor Sinclair PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOURINHO ATUNGULIWA PENALTI ZOTE MECHI YA HISANI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top