• HABARI MPYA

  Sunday, October 01, 2017

  MAN CITY YAIDONDOSHA CHELSEA DARAJANI, 1-0 MAMBO YA DE BRUYNE

  Mshambuliaji Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Manchester City dakika ya 67 ikiilaza 1-0 Chelsea Jumamosi Uwanja wa Stamford Bridge mjini London, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIDONDOSHA CHELSEA DARAJANI, 1-0 MAMBO YA DE BRUYNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top