• HABARI MPYA

  Monday, September 04, 2017

  IGP SIRRO ALIVYOKABIDHIWA MATAJI YA USHINDI WA POLISI EAPCCO

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Simon Sirro akipokea Kombe la ushindi wa tatu kutoka kwa Inspekta Hashim Abdallah wakati wa mapokezi ya wanamichezo wa jeshi hilo waliokuwa wakishiriki Michezo ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games) nchini Uganda wiki iliyopita
  IGP Simon Sirro akimpongeza Mwanariadha wa Polisi, PC Basili John baada ya kushinda medali ya Dhahabu katika Michezo ya EAPCCO  
  IGP Simon Sirro akimpongeza Koplo Gaston Komba baada ya kushinda medali ya shaba kwenye Taikwondo katika Michezo ya EAPCCO
  IGP Simon Sirro akiwa na viongozi wengine na wanamichezo wa Polisi walioshiriki katika michezo ya EAPCCO wiki iliyopita nchini Uganda
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IGP SIRRO ALIVYOKABIDHIWA MATAJI YA USHINDI WA POLISI EAPCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top