• HABARI MPYA

  Thursday, July 06, 2023

  SIMBA YASHUSHA KOCHA WA VIUNGO KUTOKA RWANDA


  KLABU ya Simba imemtambulisha Mnyarwanda Corneille Hategekimana kuwa kocha wake mpya wa Fiziki.
  Huyo anakuwa mtaalamu wa pili wa benchi la Ufundi kutambulishwa leo baada ya kocha wa Makipa, Mspaniola Daniel Cadena ambaye msimu uliopita alikuwa Azam FC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YASHUSHA KOCHA WA VIUNGO KUTOKA RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top