• HABARI MPYA

  Saturday, March 11, 2023

  WAZIRI AMTEUA MAYAY KUIWAKILISHA NCHI BODI YA MADOLA


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana amemteua Mkurugenzi wa Michezo, Ally Mayay Tembele kuwa Mwakilishi wa Tanzania kwenye Bodi ya Ushauri ya Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI AMTEUA MAYAY KUIWAKILISHA NCHI BODI YA MADOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top