MABAO ya Harry Kane dakika ya 37 na Bukayo Saka dakika ya 40 yameipa England ushindi wa 2-0 dhidi ya Ukraine katika mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2024 leo Uwanja wa Wembley Jijini London. England inafikisha pointi sita baada ya ushindi wa leo na kuendelea kuongoza Kundi kwa pointi zake sita za mechi mbili, ikifuatiwa na Macedonia Kaskazini pointi tatu, wakati Malta, Italia na Ukraine hazina pointi baada ya wote kucheza mechi moja moja.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment